Ysa Mwanza
Mkutano wa kiroho kwa ajili ya vijana watu wazima utafanyika mwezi Oktoba 2026 huko Mwanza Mambo ni Leo Beach ili kuimarisha imani ya vijana hao, kujenga urafiki wa kudumu, na kuwahamasisha kumfuata Yesu Kristo. ISIAH 41:10 USIOGOPE KWA MAANA MIMI NIPO PAMOJA NAWE
08 - 09
Octubre 2026
Mambo Ni Leo

